Taifa bila umeme | Umeme umerejea kwenye baadhi ya maeneo

  • | Citizen TV
    2,434 views

    Umeme umerejea kwenye baadhi ya maeneo ambapo ulikuwa umepotea kwa zaidi ya saa kumi na mbili. Hata hivyo kuna baadhi ya maeneo ambayo bado yamesalia gizani kuanzia jana usiku