- 12 viewsWanawake katika kaunti ya Tana River kwa muda mrefu wamekuwa wakisubiri sera itakayowalinda dhidi ya ukatili wa kijinsia na kingono. Sasa matumaini yao yakianza kuonekana baada ya kaunti hiyo kwa ushirikiano na wadau mbalimbali kuzindua rasmi sera ya kupambana na ukatili wa kijinsia. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya