- 21,323 viewsDuration: 28:15Rais wa Marekani Donald Trump yuko nchini Ufilipino katika eneo la Asia Mashariki ambapo anasemekana kufanya ziara nyengine nchini China. Baadaye wiki hii, atafanya mkutano wa pande tatu na Rais Xi wa China pamoja na Vladimir Putin wa Urusi. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw