Skip to main content
Skip to main content

Avunja rekodi yake mwenyewe! Mita 50 kwa sekunde 6.86 tu

  • | BBC Swahili
    20,534 views
    Duration: 29s
    Shrishti Dharmendra Sharma kutoka India ameweka rekodi mpya ya dunia ya Guinness kwa kuteleza huku ameinama chini sana akiwa na na viatu vya magurudumu (Limbo Skating) kwa kasi ya ajabu. Jaribio hilo alilifanya Oktoba 8 mwaka huu nchini India na Guiness walichapisha kuthibitisha Novemba 16 na kuitangaza rasmi kama rekodi mpya ya dunia #bbcswahili #india #shrishti Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw