Ugonjwa wa Bilhazia

  • | Citizen TV
    77 views

    Kwa muda mrefu ugonjwa wa Bilhazia umekuwa ukipuziliwa mbali katika maeneo tofauti nchini hali ambayo huenda ukachangia matatizo ya uzazi miongoni mwa waathiriwa endapo hautapewa uzito unaotashili na kutatuliwa kwa wakati unaofaa