- 25,859 viewsDuration: 2:41Uchaguzi mdogo wa Mbeere North ulikuwa makabiliano ya kufa kupona kubaini nani kati ya Rais William Ruto na aliyekuwa naibu wake Rigathi Gachagua alikuwa na usemi na ushawishi eneo la mlima Kenya. Lakini je, ushindi wa chama cha UDA ukitarajiwa kubadili mustakabali wa siasa katika eneo hilo uchaguzi ujao?.