Uteuzi wa UDA bungeni Murang'a

  • | Citizen TV
    800 views

    Katika kaunti ya Murang'a, aliyekuwa msaidizi wa kibinafsi wa Gavana, Peter Mbogo ameteuliwa na kuapishwa kujaza nafasi iliyoachwa wazi na marehemu Mark Wainaina aliyefariki mwaka jana baada ya kuugua