- 165 viewsDuration: 1:57Taasisi ya mafunzo ya uongozi ya IGAD imezuindua mtandao wa viongozi wanafunzi baada ya kutoa mafunzo kwa viongozi vijana 10 kutoa mataifa wanachama wa IGAD. Mafunzo hayo yametolewa mwaka huu na yanatoa fursa muhimu kwa taasisi hiyo kutoa mafunzo kusaidia kuongeza ufahamu wa majukumu ya IGAD.