Vijana waandamana kwa amani mjini Kisumu

  • | KBC Video
    172 views

    Maandamano mjini Kisumu hii leo yalifanyika kwa njia ya amani. Kama tunavyoarifiwa na mwanahabari wetu Wycliffe Oketch, mafisa wa polisi walishika doria kwenye mji huo huku waandamanaji wachache wakijitokeza kwenye maandamano hayo yaliodumu hadi saa sita adhuhuri.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive