28 Nov 2025 1:50 pm | Citizen TV 1,761 views Duration: 2:11 Vincent Kiplimo wa chama cha United Democratic Alliance (UDA) ameibuka mshindi wa kiti cha wadi ya Chemundu–Kapng’etuny na kumrithi babake marehemu, aliyekuwa MCA wa eneo hilo, Julius Keter.