Viongozi barani Afrika wametakiwa kuchukua hatua thabiti kupambana na ufisadi

  • | Citizen TV
    328 views

    Viongozi barani Afrika wametakiwa kuchukua hatua thabiti kupambana na ufisadi ambao umetajwa kuwa kikwazo kikubwa kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii.