6 Nov 2025 1:47 pm | Citizen TV 146 views Duration: 1:51 Msaidizi wa Rais Farouk Kibet ametoa wito kwa Wakenya kuwekeza katika afya, elimu na vipaji huku maandalizi ya mbio za Chepsaita Cross Country zinazotarajiwa kufanyika Desemba 6 yakiendelea.