Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa Kenya Kwanza Bomet wakashifu siasa za chuki

  • | Citizen TV
    347 views
    Duration: 1:49
    Na katika kaunti ya Bomet, kauli ya Viongozi kutoka mrengo wa Kenya kwanza ilikuwa hiyo hiyo ya kukashifu siasa za ukabila na matumizi ya wahuni kushambulia wanaotofautiana nao kisiasa. Wakizungumza kwenye hafla ya mchango wa kujenga kanisa la KANUSIN AGC, walielezea kukerwa kwao na namna wapinzani wanavyozungumza majukwaani bila kuheshimu ofisi ya rais. Aidha,viongozi hawa wana omba vijana wasitumike vibaya na wanasiasa ila wajisajili kuwa wapiga kura .