- 85 viewsDuration: 1:38Viongozi wa Kenya Kwanza leo waliimarisha uhamasishaji wa kisiasa Magharibi mwa nchi huku wakiandaa mikutano katika eneo bunge ya Lurambi katika Kaunti ya Kakamega na eneo bunge la Teso Kusini katika Kaunti ya Busia ambapo walimpigia debe Rais William Ruto kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka ujao. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive