- 245 viewsDuration: 1:27Viongozi wa makanisa mbalimbali kaunti ya Kisii wameelezea wasiwasi wao kuhusu uhuni uneozidi kushuhudiwa katika mikutano ya Kisiasa maeneo mbalimbali nchini. Wakizungumza mjini Kisii, viongozi hao wamewakashifu wote wanaoeneza siasa za chuki na za kikabila .