13 Apr 2026 10:34 am | Citizen TV 1,105 views Duration: 1:50 Na katika kaunti jirani ya Nyamira, Viongozi wa kisiasa wameomba utulivu wa joto la kisiasa, na kuwaomba wakazi wa eneo hilo kumkaribisha Rais William Ruto anapoanza ziara yake ya siku 4 katika kaunti za Nyamira na Kisii.