Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa upinzani walaumu serikali kwa fujo

  • | Citizen TV
    12,973 views
    Duration: 2:49
    Viongozi wa upinzani wameendelea kuilaumu serikali kwa vurugu kwenye mikutano yao, wakishutumu kile kilichoshuhudiwa jana katika kaunti ya Kiambu. Wakiongozwa na Rigathi Gachagua wa DCP na Fred Matiang'i wa Jubilee, viongozi hao wamewataka wakuu wa usalama kuwajibikia usalama na kuyakabili magenge ya wahuni.