Visa vya uhalifu vinaonekana kuongezeka Makueni

  • | Citizen TV
    126 views

    Viongozi wa kaunti ya Makueni wameilaumu idara ya polisi kwa kuzembea kazini wakilalamika kuongezeka kwa visa vya uhalifu na dhulma za kijinsia kaunti hiyo.viongozi hao wanawataka polisi kuhakikisha kuwa wahalifu wamewajibishwa kisheria kando na kuimarishadoria ili kukomesha uhalifu.