Viwanda vya kusaga sukari vimesutwa kwa kutoekeza kwa ukulima wa miwa nchini

  • | West TV
    94 views
    Wakulima wa miwa kutoka kaunti ya Busia wameilaumu serikali kwa kile wametaja kama kuchangia uhaba wa miwa unaondelea kushuhudiwa katika eneo la magharibi kwa kuruhusu baadhi ya viwanda vya miwa kusaga sukari bila ya kuekeza katika kupanda na kukuza miwa.