Waandamanaji wadai kukerwa na serikali ya Kenya Kwanza

  • | NTV Video
    2,122 views

    Ilikuwa makabiliano makali baina ya waandamanaji na maafisa wa polisi vijana wakisema wamechoshwa na serikali iliyopo madarakani. Katika kaunti ya Kilifi maaafisa wa polisi waliandamwa kwa kutupa vitoza machozi katika hospitali ya mtwapa ambapo kina mama wajawazito pamoja na watoto walikuwa wakipokoea matibabu.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya