Waandamanaji wafunga barabara Kangemi

  • | KBC Video
    1,897 views

    Maandamano katika barabara ya Waiyaki Way mtaani Kangemi yaligeuka kuwa ya vurugu huku waandamanaji wakikabiliwa na polisi ili wawazuiwe kuharibu na kuvuruga mali ya watu. Polisi walilazimika kutumia vitoza machozi na magari yao ya kuwatanya waandamanaji ya maji ili kukabiliana na waandamanaji waliokuwa wakipura magari kwa mawe na kulemaza huduma za usafiri za kuingia na kutoka katikati mwa jiji la Nairobi. Watu kadhaa walijeruhiwa wakati wa maandamano hayo wakiwemo waandishi wa habari waliokuwa wakifuatilia matukio hayo. Mwanahabari wetu Abdiaziz Hashim anatuletea taarifa hiyo kwa kina.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive