Wabunge wa maeneo ya ukuzaji mahindi wapinga kuagizwa kwa mahindi nchini

  • | West TV
    26 views
    Wabunge zaidi ya ishirini wa mrengo wa Kenya Kwanza na wenzao wa Azimio la umoja wamejitokeza na kupinga juhudi za serikali la kutaka kuagiza mahindi kutoka nje ilhali Wakenya wamevuna mahindi yao