6 Nov 2025 1:30 pm | Citizen TV 212 views Baadhi wa wabunge kutoka mrengo wa ODM waliungana na wajumbe wa chama cha UDA kutoka eneo bunge la Malava kumpigia debe mgombea wa kiti hicho kwa tikiti ya chama cha UDA David Ndakwa.