Wadau wa elimu kaunti ya Garissa wanaitaka wizara ya elimu kuweka mikakati ya kutosha

  • | Citizen TV
    21 views

    Wadau wa elimu kaunti ya Garissa wanaitaka wizara ya elimu kuweka mikakati ya kutosha kwenye matayarisho ya mpito wa wanafunzi kutoka sekondari msingi hadi sekondari ya juu ili kuepuka mahangaiko ya wanafunzi na wazazi dakika za mwisho.