- 1,678 viewsDuration: 2:26#ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Wafanyabiashara waliopoteza mali na kuharibiwa biashara zao wakati wa maandamano mjini Murang’a wamepokea msaada kutoka kwa serikali ya kaunti ili kuwasaidia kujenga upya biashara zao.Kifurushi cha msaada chenye thamani ya shilingi 440,000 kilitolewa na Gavana Irungu Kang’ata, ambapo baadhi ya wafanyabiashara walipokea fidia kati ya shilingi 10,000 hadi 100,000. Gavana Kang’ata alisema serikali ilitathmini kiwango cha uharibifu uliotokea na kuwahimiza wafanyabiashara kushirikiana na vyombo vya usalama kuwabaini wahalifu. Wafanyabiashara walionyesha shukrani wakisema msaada huo utawasaidia kurejea katika biashara zao Follow the latest updates on the nationwide matatu strike in Kenya as operators protest rising fuel prices. Stay tuned for live coverage, traffic updates, commuter impact, government responses and reactions from across the country. Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews