6 Nov 2025 10:46 am | Citizen TV 153 views Wafanyibiashara mjini Nanyuki wamelalamikia kero ya taka, jambo lililosababisha uchafu mwingi kutapakaa katika sehemu nyingi mjini huo.