Wafanyibiashara walalamikia mizigo kuchelewa bandarini

  • | Citizen TV
    112 views

    Baadhi ya wafanyibiashara na mawakala jijini Mombasa wameikosoamamlaka ya ukusanyaji ushuru nchini KRA kwa kuchangia kucheleweshwa kwa shughuli za kuondoa mizigo bandarini Mombasa.