Wafugaji Kotoka kaunti ya Samburu wahimizwa kuwapa elimu wasichana

  • | Citizen TV
    311 views

    Jamii ya wafugaji kaunti ya Samburu imehimizwa kutilia maanani elimu ya mtoto wa kike na kuwapa nafasi sawa na wa kiume. Wafugaji wanatuhumiwa kwa kufuata mila zilizopitwa na wakati za kuwaoza watoto wa kike mapema. Hali hiyo imekatiza ndoto za wasichana wengi kutoka jamii hiyo.