Wakaazi wa Buruburu wafanya maandamano wakilalamikia majengo kando ya Barabara

  • | Citizen TV
    1,556 views

    Wakaazi wa mtaa wa Buruburu jijini Nairobi wameandamana kulalamikia kujengwa kwa kituo cha kuosha magari kwenye sehemu iliyotengewa upanuzi wa barabara.