Wakazi katika kaunti ya Busia walalamikia dhulumiwa kutoka kwa maafisa wa usalama

  • | Citizen TV
    1,013 views

    Wakazi katika kijiji cha Aterait eneo bunge la Teso Kusini, kaunti ya Busia wameitaka idara ya usalama kuwanusuru kutoka kwa maafisa wa polisi kutoka kituo cha polisi cha Adungosi wakidai kuwa wanawahangaisha. aidha wanadai kuwa baadhi ya maafisa wa polisi wanahusishwa na visa vya ubakaji wanapowakamata wasichana na wanawake usiku.