Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Bungoma washauriwa kupimwa mapema dalili za magonjwa

  • | Citizen TV
    183 views
    Duration: 1:13
    Akizungumza katika maadhimisho ya siku ya ugonjwa wa shinikizo la damu, afisa mkuu wa wizara ya afya ya kaunti ya Bungoma David Malinga asema kuwa ugonjwa huo pamoja na magonjwa mengine yasiyo ya kuambukizana yanawapata hata watoto akisema tahadhari inastahili kuchukuliwa hasa kuhusu lishe bora.