Wakazi wa Isiolo wataka waliohusika na kutekwa nyara kwa Abdulrahman Ibrahim wakamatwe haraka

  • | KBC Video
    37 views

    Baadhi ya wakazi pamoja na viongozi wa kisiasa kutoka eneo la kaskazini Mashariki wanataka wale waliohusika na kile kilichodaiwa kuwa kutekwa nyara na kuteswa kwa aliyekuwa afisa mkuu wa afya katika kaunti ya Isiolo Abdulrahman Ibrahim, wakamatwe na kushtakiwa haraka. Viongozi hao wakiongozwa na mbunge wa Mandera Magharibi Adan Yusuf, wanadai tukio la kutekwa nyara kwa Ibrahim kunaweza kuwa ni suala la kisiasa. Ibrahim kwa sasa amelazwa katika hospitali moja Nairobi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive