Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Kaya Fungo Mbalamweni walalamika kuhangaishwa na wanyakuzi wa ardhi

  • | Citizen TV
    692 views
    Duration: 2:34
    Wakazi wa Kaya Fungo Mbalamweni eneo bunge la Kaloleni kaunti ya Kilifi wamefanya maandamano wakilalamikia njama ya unyakuzi wa ardhi ya ekari 400. Wakazi hao wanadai licha ya kupata hati miliki za ardhi, kundi tofauti limejitokeza likidai umiliki. Hali hii imezua wasiwasi miongoni mwa wakazi ambao wanadai mabwenyenye wamekuwa wakiwahangaisha na wanataka waondoke.