- 426 viewsDuration: 1:10Wakaazi wa Kisiwa cha Manda kaunti ya Lamu wameandamana kupinga mradi wa mbuga ya wanyama pori kupitia mwekezaji wa kigeni katika Kisiwa hicho. Wakazi hao wakisema kuwa tayari mwekezaji huyo ameanza shughuli katika eneo hilo huku akiruhusu wanyama pori karibu na makaazi yao. Sasa wanasema hali hii imeendelea kuhatarisha maisha yao, haswa watoto wanapoelekea shuleni