Wakazi, wawakilishi wadi waandamana Taita Taveta

  • | Citizen TV
    305 views

    Wakaazi wa kaunti ya Taita Taveta waliandamana mchana wa leo kupinga mswada wa fedha wa mwaka 2023. Wakiongozwa na na seneta Jones Mwaruma, wakaazi hao waliwataka wabunge kutupilia mbali mswada huo wanaosema utapandisha gharama ya maisha. Haya yanajiri huku maafisa wa polisi kaunti ya Nakuru wakisema zaidi ya washukiwa 100 wa wizi wamekamatwa katika operesheni ya usalama katika eneo la Kaptembwa, ambapo magenge hatari yamewatatiza wakaazi