Wakulima nchini wahimzwa kupima udongo wao katika maabara ili kutambua mimea watakayopanda

  • | Citizen TV
    376 views

    Wakulima nchini wamehimzwa kuzingatia kwa kina kupima udongo wao katika maabara ili kufahamu hali ya rotuba na asidi ya mashamba yao na kushauriwa aina mimea watakayopanda kuambatana na udongo wao. Imebainika kwamba ni asilimia 20 tu ya wakulima nchini ndio ambao huzingatia kupima udongo wao katika maabara, hali hiyo ikiadhiri pakubwa mazao katika eneo pana la Magharibi kwani kiwango cha asidi kwenye udongo ni cha juu sana