Wakulima wasema nyati na Pundamilia wanakula mimea yao

  • | Citizen TV
    126 views

    Migogoro kati ya binadamu na wanyamapori imeendelea kuzua taharuki miongoni mwa wakulima wanaoishi karibu na Hifadhi ya kitaifa ya wanyamapori ya Longonot huko Naivasha