Wanaharakati Boniface Mwangi na mwenzake kutoka Uganda Agather wasimulia madhila waliopitia Tanzania

  • | Citizen TV
    8,414 views

    Mwanaharakati Boniface Mwangi na mwenzake kutoka Uganda Agather Atuhaire wameeleza hadharani mateso waliyopitia walipokamatwa na kuzuiliwa nchini Tanzania. Wanaharakati hao wamesimulia ukatili waliofanyiwa ukiwemo kuteswa, kunajisiwa na madhila mengine mengi yaliyofanywa na watu waliodai kutumwa na serikali ya Tanzania.