Wananchi wato hisia mseto kuhusu bajeti

  • | Citizen TV
    852 views

    Wakenya kutoka maeneo mbalimbali nchini walitoa hisia zao kabla na baada ya kusomwa kwa bajeti. Baadhi wakikosoa serikali huku wengine wakisusia mchakato huo na kuendelea na biashara zao kama kawaida wakidai kuwa hata wanapotoa maoni kuhusu bajeti, hayazingatiwi