Wanaodai kiwanda cha kusaga sukari cha Mumias wataabika kwa kulemewa na maisha

  • | West TV
    124 views
    Waliokuwa wafanyikazi wa kiwanda cha kusaga sukari cha Mumias wanaendelea kupitia wakati mgumu wakizima ndoto ya kuwai kulipwa malimbikiz ya mishahara yao sasa wakiitaka serikali kuingilia kati na kumlazimu mwekezaji aliopo kuwalipa haraka.