Wanaougua TB Kerio Valley walazimika kwenda mbali

  • | Citizen TV
    282 views

    Kwa miaka mingi, serikali imekuwa ikiendesha kampeni kukabliana na ugonjwa wa kifua kikuu. Lakini licha ya juhudi hizi za jadi, ugonjwa wa kifua kikuu bado umeendelea kuathiri wakaazi katika vijiji kadhaa bonde la Kerio. Katoka kijiji cha Sigor, hospitali ya pekee inayotoa matibabu ya ugonjwa huu imezidiwa na wagonjwa, huku hofu ya maambukizi zaidi ikiibuka.