Wanaume wahamasishwa Nyandarua

  • | Citizen TV
    173 views

    Mwakilishi wa kike bungeni kutoka Kaunti ya Nyandarua Faith Gitau amewataka wanaume kujitokeza na kusimama imara na kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kama inavyostahili