Washukiwa wa mauaji ya raia wa Uingereza wanaswa

  • | KBC Video
    821 views

    Mahakama jijini Nairobi, imeagiza kuzuiliwa kwa washukiwa wawili wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya raia mmoja wa uingereza ambaye mwili wake ulipatikana siku chache tu baada ya kuwasili nchini kuhudhuria mkutano wa kibiashara. Upande wa mashtaka uliambia mahakama kwamba, mwili wa Campbell Scott, mwenye umri wa miaka 58, ulipatikana tarehe 22 mwezi uliopita ukiwa ndani ya gunia na kutupwa katika msitu wa Makongo , kaunti ya Machakos. Ruth Wamboi na taarifa hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive

    gun