Watangazaji wa Bahari FM wajumuika na waumini Kilifi

  • | Citizen TV
    293 views

    Mamia ya mashabiki wa Bahari fm hii leo wamepata fursa ya kutangamana na watangazaji wa kituo hicho kwenye ibada ya kipekee eneo la Tezo, kaunti ya Kilifi.