29 Nov 2025 7:14 pm | Citizen TV 6,550 views Duration: 2:24 Watu watatu wamefariki na wengine watatu kujeruhiwa kufuatia uvamizi ulioendelea usiku wa kuamkia leo katika kaunti ya Meru. Aidha mamia ya mifugo waliibwa kwenye uvamizi huo uliowaacha wakaazi na hofu.