- 569 viewsDuration: 3:16Kina mama wachuuzi kutoka soko la Marikiti huko Kisii wamejitokeza kuungana kufadhili Masomo ya mtoto yatima ambaye babake alikuwa akihudumu kwenye soko hilo kabla ya kufariki miaka miwili iliyopita. Wakiwa wamevalia nguo zao za kazi, kina mama hawa walichangisha shilingi elfu 80 na kuandamana na binti huyo FRIDAH LUWOI hadi shule ya wasichana ya Nyanchwa walikomsajili.