Waziri John Mbadi atangaza kushirikiana na wizara ya uchukuzi kutoa mwelekeo wa kampuni za bima

  • | NTV Video
    454 views

    Waziri wa fedha John Mbadi ametangaza kushirikiana na wizara ya uchukuzi kutoa mwelekeo wa namna kampuni za bima nchini zitakavyo toa huduma za bima katika sekta matatu badala ya kupiga mnada magari yaliyoshindwa kulipia ada ya bima

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya