Waziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen amemshtumu aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua pamoja na viongozi wengine wa upinzani kwa kuchochea vurugu na kuendeleza siasa za migawanyiko. Waziri Murkomen ambaye aliyasema hayo wakati wa hafla ya kuwezesha jamii iliyoandaliwa katika uwanja wa Kimwogo, kaunti ya Elgeyo Marakwet, aliwaonya vikali wanasiasa wanaoendeleza rabsha kabla ya uchaguzi mkuu ujao, akisema watachukuliwa hatua za kisheria.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive