Waziri wa ulinzi Adan Duale azuru kaunti ya Lamu

  • | Citizen TV
    1,794 views

    Waziri wa ulinzi Adan Duale ametoa onyo kwa wakazi wa lamu wanaoshirikiana na Alshabaab kutekeleza mashambuluzi watachukukiwa hatua kali za kisheria. Duale alisema haya katika ziara yake eneo la Mkowe witu na Faza alukoelekea kuangazia shughuli za wanajeshi wa KDF.

    shabaab