- 2,843 viewsDuration: 3:06Waziri wa usalama wa kitaifa Kipchumba Murkomen amemuagiza Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja kuanzisha uchunguzi mara moja kuhusiana na kuzidi kwa magenge ya wahuni nchini. Murkomen akikosoa makundi ya wahuni yaliyoshuhudiwa Kikuyu wakati wa mkutano wa upinzani, japo akaelekeza kidole cha lawama kwa wanasiasa wenyewe.